HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 23, 2012

VODACOM YAENDELEA KUTOA SOMO KWA WABUNGE MJINI DODOMA

Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Bw Salum Mwalim akiwaelezea wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoka kushoto Abbas Mtemvu (Temeke),David Silinde (Mbozi Magharibi) na Mussa Azan (Ilala) faida za kujiunga na huduma za mkataba za kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifurahia huduma za Vodacom wakati kampuni hiyo ilipowahudumia wabunge katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma wiki iliyopita. Wa tatu kushoto ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Bw Salum Mwalim.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad