HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 20, 2012

Salamu za Pole kwa Zazibar na Tanzania kwa ujumla kutoka kampuni ya simu ya Airtel

Hii salam inanamba maalum 0689 099 444 ambapo ni msaada kwa mtu yeyote mwenye shida ya kuuliza chochote au akitaka kutoa msaada wowote atawapigia au kuwasiliana wenzetu na REDCROSS ambao wako huko Zanzibar na wengine hapa Dar kutoa msaada wa haraka kwa ndugu zetu waliothirika na maafa ya ajali ya boti .

Pia kuna akaunti maalum ya Airtel Money ambapo shortcode yake au (jina la fumbo) MAAFA iliyopo chini ya kitengo chetu cha huduma kwa jamii kwaajili ya wasamaria wema kuweza kuwachangia chochote ndugu zetu waliofikwa matatizo ya kufiwa na kupoteza ndugu na mali zao kwenye ajali hiyo

Asante

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad