Gari la zimamoto la Manispaa ya jiji la Dar es Salaam likiwa limepata ajali katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi.
Magari yakiwa katika msongamano mara baada ya kutokea ajali na kusababisha kufungwa kwa barabara.
Mtangazaji wa ITV, Bw. Sam Mahela akifanya mahijiano na Kaimu Kamishna wa Usalama wa Umma Bw. Fikiri akielezea jinsi tukio lilivyotokea.Picha na Libeneke la Kajunason Blog.

No comments:
Post a Comment