HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 5, 2012

Prof. Lipumba atembelea Banda na NSSF kwenye Maonyesho ya Saba Saba Jijini Dar leo

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Ofisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Pilly Penda (kushoto) juu ya faida za kujiunga na mfuko huo wakati kiongozi huyo alipotembelea maonyesho ya 36 ya kimataifa ya Dar es alaam leo katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere. Katikati ni Afisa wa NSSF anahusika na mambo ya Itifiki Juma Kintu.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Fao la Matibabu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Aisha Marine (kushoto) jinsi wanachama wa mfuko huo wanavyonufaika na huduma hiyo wakati kiongozi huyo alipotembelea maonyesho ya 36 ya kimataifa ya Dar es alaam jana katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere. Katikati ni Afisa wa NSSF anahusika na mambo ya Itifiki Juma Kintu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad