HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 27, 2012

Chalinze stendi

 Chungwa za Chalinze hizoooo...
 Vijana wanaojishughulisha na biashara mbali mbali za mikononi wakiwa ubavuni mwa mabasi ya abiria yaliyokuwa yamesimama katika kituo cha Chalinze ili kuuza bidhaa zao hizo kwa wasafiri.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad