HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 19, 2012

uhaba wa maji

 Wakazi wa Mji wa mikese mkoani Morogogo wakiwa wamepamba vyombo vyao kwenye bomba la kijiji ili ya kuteka maji kwa ajili ya matumizi mbali mbali majumbani mwao.hali hii inakuja kutokana na uhaba wa maji unaendelea katika maeneo mbali mbali hapa nchini hivi sasa. 
 Kina mama wakisubiria kutema maji 
 Mwanadada akiwa na baiskeli yake akielekea kuteka maji.
Hawa wamepata na wanarudi nyumbani huku wakipiga stori mbili tatu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad