HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 19, 2012

TAASISI INAYOJISHUGHULISHA NA MAMBO YA UCHUMI YA DELOITTE YAANDA SEMINA YA BAJETI YA AFRIKA MASHARIKI KWA MWAKA 2012/2013

Meneja Mshauri Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte Bw.Frederick Nsemwa,akiongea wakati wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Asasi zisizo za kiserikali Bw.John Olanga akiongea wakati wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte,katikati ni Mwenyekiti wa shirikisho la viwanda Tanzania Felix Mosha na Mkurugenzi mtendaji wa Samaria Groups Jayesh Shah.
Mtaalam wa Maswala ya Kodi na nishati ya umeme wa kampuni ya Deloitte Bill Page akichangia mada kuhusiana na bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.
Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.
Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakibadilishana mawazo baada ya semina hiyo kumalizika iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad