HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 2, 2012

Redd's Miss Tabata 2012 ni Noela Michael

 Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupi baada ya kumalizika kwa kinyang'anyiro hicho,usiku huu kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar.
 Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wengine wa tano baada ya kumalizika kwa kinyang'anyiro hicho,usiku huu kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar.
 Tano Bora.
 Kumi Bora.
 Washiriki Wote wakipita kwenye steji.
 Vali la Ubunifu.
 Vazi la Ufukweni.
 Burudani kutoka kwa Warembo hao.
 Mashujaa bendi wakikamua jukwaani.
 Muimmbaji kiongozi wa Bendi ya Muziki wa Taarab ya Mashauzi Classic,Eshe Mashauzi akifanya vitu vyake.
 Majaji wakiweka mambo sawa. 
 Miss Tanzania 2011/12,Salha Israel akiwa pamoja na Jeniffer Kalokola mshindi wa tano wa Miss Tanzania 2011/12.
 Wakuu wa Miss Tanzania.
Majaji wakijiandaa kumtangaza Redd's 2102 usiku huu.
Watu Kibao walifurika kwenye onyesho hili la urembo ndani ya Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad