HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 16, 2012

Redd's Miss Dar City Center 2012 ni Matilda Martin

 Redd's Miss Dar City Center 2012,Matilda Martin akipunga mkono muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa taji hilo usiku huu kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.
 Redd's Miss Dar City Center 2012,Matilda Martin (katikati) akiwa na mshindi wa pili wa taji hilo,Magdalena Munisi (kushoto) na Mshindi wa tatu,Witness Michael muda mfupi baada ya kutangazwa kwa washindi hawa katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.
 Washiriki waliotinga tano Bora ambao wote wanaenda moja kwa moja kujiunga na wenzao kwenye mashindano ya kanda ya Ilala,jijini Dar.
 Redd's Miss Dar City Center aliemaliza muda wake,Alexia William 
 Washiriki wote stejini.
 Tano Bora.
 Majaji wakijadiliana jambo kabla ya kumtangaza mshindi wa Redd's Miss Dar City Center 2012 usiku huu.
 Ankal Albert Makoye akitoa muongozo kwa Majaji.
 Redd's Miss Tanzania 2011/12,Salha Israel pia alikuwepo kushuhudia onyesho hili.
 Wadau wa Kamati ya Miss Tanzania.
 Diamond akiwa amenyanyuliwa juu juu na wacheza shoo wake.
 Shoo ya Diamond imekolea. 
Wema Sepetu akifuatilia Shoo ya Diamond usiku huu,huku tabasamu zito akilionyesha. 
 Diamond akipagawisha mashabiki wake.
 Mmoja wa Majaji wa Shindano hilo,Wema Sepetu akiuliza maswali kwa warembo walioingia tano bora.
 Mwanalibeneke wa Bongo Star Link,Hugo Martin a.k.a Dj Choka akiwajibika.
 Shamim Mwasha a.k.a Zeze a.k.a Mama IQ a.k.a Mama wa 8020 Fashions na a.k.a nyingi tu zingine akiwa kidigitali zaidi.....Utamtakaaaaaaaa.....
 Ben Kinyaiya,Bob Junior na rafikiye wakifatilia shindano hilo.
Meneja wa Kilaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro (kushoto) akiwa na marafiki zake.
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Ankal Albert Makoye akiwakilisha kama kawa.

7 comments:

  1. aiseee it was awesome.,,it doesn't matter i wasn,t there but imebamba na washindi they deserve that...

    ReplyDelete
  2. Mjomba nimefurahia picha zako ulivyozipiga zimetoka vizuri ,hasa jinsi ulivyomtoa WEMA.Kingine hata aliyechaguliwa anastahili kwani ana mvuto wa kutosha.
    Shindano lilikuwa na ushindani wa kutosha kwa jinsi ukiwaangalia washiriki wote.MWISHO,MBONA WANYWAJI WENGI PALE WALIKUWA HAWANYWI RED'S?.

    ReplyDelete
  3. hii ni katika nchi ya tatu kutoka chini kwa umasikini...

    ReplyDelete
  4. HUYU WEMA SEPETU NDIO MISS TZ WA UKWELI TANGU 2006 HADI 2020.WE LOVE YOU SO MUCH DADAA.

    ReplyDelete
  5. Aise watu wote walipendeza! Nimefanikiwa kuwatambua my mates Monie Jo & Grace K., aisee kweli siku zinaenda, mmekuwa wadada haswa! Nitawatafuta nikirudi bongo wapendwa!

    ReplyDelete
  6. Wema I luv you so much..wee ni wa ukweli achana na wengine hao fekiiiiiiiiii hasa kidoti.

    ReplyDelete
  7. Naomba kusahihisha jina la Miss Dar City Center 2012. Anaitwa MECKTILDA (AU MECKY KWA KIFUPI)MARTIN na siyo MATILDA MARTIN.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad