Mkazi wa Mji wa Ifakara ambaye ni mvuvi wa samaki katika mto Kilombero, Salehe Mfuko akipanga aina ya samaki ambao wameongezeka ukubwa baada ya kusisitizwa kwa shughuli za uvuvi katika kipindi cha miezi sita kuanzia Desemba mosi mwaka jana hadi Juni 13, mwaka huu , huku wananchi wakiwaangalia sakami hao.
Mvuvi akiongelea katika kina kirefu cha maji ya mto Kilombero ikiwa ni kuonesha furaha yake ya kufunguliwa kwa shughuli za uvuvi baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi sita kuanzia Desemba mosi mwaka jana hadi Juni 13, mwaka huu.
Mvuvi akielezea furaha yake mbele ya wananchi wa Mji huo eneo la Kivukoni kuhusu kitendo chake cha kuongelea kwenye kina kirefu cha maji ya mto Kilombero ikiwa ni kuonesha furaha yake baada ya kufunguliwa kwa shughuli za uvuvi katika mto huo baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi sita kuanzia Desemba mosi mwaka jana hadi Juni 13, mwaka huu. Picha zote na John Nditi.
No comments:
Post a Comment