HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 19, 2012

Rais Kikwete awaapisha majaji 10 wa mahakama kuu ya tanzania leo

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe.Latifa Mansoor kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe.Joaquine Antoinette De-Mello kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. John Samwel Mgetta  kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Sam Mpaya Rumanyika kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe.Salvatory Benmedict Bongole  kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Mathew Pauwa Mhina Mwaimu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Jacob C.M. Mwambegele  kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika Hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi Ikulu, Dar es salaam. Karibu na kamera ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad