HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 30, 2012

MUSTAFA HASSANALI AWAZAWADIA WASHINDI REDD'S MISS DAR INTERCOLLEGE 2012

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa hapa nchini,Mustafa Hassanali akimkabidhi zawadi ya gauni lenye thamani ya shilingi 500,000 Redd's Miss Dar Intercollege 2012,Hilda Edward ofisini kwake leo.anayeshuhudia ni mratibu wa shindano hilo, Dina Ismail.
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa hapa nchini,Mustafa Hassanali akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa kitongoji cha Redd's Miss Dar Intercollege katika shindano la Redd's Miss Higher Learning 2012, Hilda Edward na mshindi wa pili Jamila Hassan pamoja na mratibu Dina Ismail ofisini kwake leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad