HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 1, 2012

Maonyesho ya wajasiliamali waliofanya vizuri katika Programu ya fanikiwa kibiashara yamalizika leo jijini Dar

Mkurugenzi wa GS1,Fatma Kange akitoa maelezo juu ya umuhimu wa bar codes katika bidhaa za Tanzania kwa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwezeshaji na Uwekezaji,Dk. Mary Nagu,wakari wa kilele cha sherehe za kutoa ruzuku kwa wajasiliamali waliofanya vizuri katika Programu ya fanikiwa kibiashara zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo.
Ras Mizizi wa kikundi cha Wa Asili Asili akitoa maelezo kwa Mh. Waziri Mkuu, ndugu Mizengo Pinda juu ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi,katikati ni mwenyekiti wa TPSF Mama Esther Mkwizu.
Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa hapa nchini na wajasiriamali wetu,pichani ni kazi zinazofanywa na TAN art enterprises ya Dar es salaam
Bidhaa za Soya kutoka Gemji Home Bakery Healthy Bread zkiwa zimehifadhiwa katika viwango vya juu kabisa.
Dada Mary wa Malaki Enterprises kutoka Mkoa wa Ruvuma akimpa maelekkezo moja ya wageni walotembelea banda lake ,leo Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad