HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 2, 2012

LIGHTNESS MICHAEL NDIYE REDDS MISS DODOMA 2012

Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012, Lightness Michael (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili Berinda Mdogo (Kulia) na Mshindi wa Tatu wa taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Nulsa Magambo Mara baada ya Kumalizika kwa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
 Washiriki walioingia hatua ya tano bora
Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Redd's Miss Dodoma Wakiwa Katika Picha ya Pamoja kabla ya Kutangazwa Washiriki walioingia Tano Bora
Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Lightness Michael akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Shindano hilo.Picha Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad