HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 1, 2012

KUMBUKUMBU

Ni miaka mitatu imepita tangu ulipotutoka mpendwa wetu Louis Mipawa John
Hatutosahau upendo, ukarimu ucheshi, hekiman na busara zako.

Unakumbukwa sana na familia nzima ya marehemu Mzee John Sunga wa Bugando – Bugarika ,Mwanza, ndugu, jamaa na marafiki. Kamwe pengo lako halita zibika.

Bwana alitoa na Bwana alitwaa, Jina la bwana lihimidiwe
Roho ya marehemu Louis Mipawa apate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani. 

Amina

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad