HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 4, 2012

hapa pia panastahiki kupandwa Mti

 Maana kulikuwa na Mfuniko wa Chuma,Jamaa wakaiba na kwenda kupima skrepa,wakaweka wazege bado jamaa wakapiga tena dili na kwenye kuvunja zege na kuramba nondo zilizokuwemo ndani ya zege hilo,ukawekwa mfuniko wa Mbao nao wameuvunja.sasa si bora kupandwe mti tu ili ijulikane moja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad