HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 17, 2012

Epic Bongo Star Search yaendea na usaili Mkoani Dodoma


Majaji wa Epic Bongo Star Search,Salama Jabir,Madam Ritha Poulsen pamoja na Master Jay wakifuatilia kwa makini shindano la usaili la kumtafuta Epic Bongo Star Search 2012 katika mkoa wa Dodoma.
Madam Ritha akipokea mtoto kutoka mmoja wa washiriki aliyekuja nae katika shindano hilo kabla ya kuanza kuimba.
washiriki wakijipongeza baaada ya kuambiwa kuwa wameimba vizuri na kuitwa tena mara ya pili.
mshiriki akiimba mbele ya majaji.Picha na Mdau Evans wa Elimu Bora Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad