HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 2, 2012

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MAREKANI IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Seneta wa Marekani Christopher Coons,akiwa na Ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kuzungumza na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Seneta wa Marekani Christopher Coons,akiwa na Ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Seneta wa Marekani Christopher Coons,akiwa na Ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad