Mkazi wa Ukonga Majumba Sita Bakari Mtambua akiangalia picha yake baada ya kupiga ili kushiriki shindano la Castle Lager Super Fans ambalo linamsaka shabiki bomba wa kwenda kushudia mashindano ya Fainali za Afrika nchini Afrika ya kusini, anaemuonyesha picha ni Msimamizi wa shindano hilo David Mushi (kulia).
Mkazi wa Banana Ukonga jijini Dar es Salaam Benjamin Kilian, akipokea jezi ya timu ya Manchester City kutoka kwa mwezeshaji wa shindano la Castle Lager Super Fans linamsaka shabiki bomba wa kwenda kushudia mashindano ya Fainali za Afrika nchini Afrika ya kusini.

No comments:
Post a Comment