HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 25, 2012

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII, SANAA NA LUGHA CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) WAAPISHWA LEO

Raisi wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Iddy Mohamed (Wa Kwanza Kulia) akishauriana jambo na Waziri Mkuu wa Kitivo hiko Mh Shauri Kabla ya zoezi la kuwaapisha wateule wake leo ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma
 Pichani Juu Ni baadhi ya mawaziri na manaibu waziri wa wizara mbalimbali katika serikali ya wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakati wanakula viapo mbele ya Raisi wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Mh Iddy Mohamed (hayupo Pichani)
Naibu waziri wa Ulinzi, Maji na Makazi Mh Amani Kizuguto Akila kiapo wakati baraza la mawaziri lilipokua likiapishwa leo Chuoni hapo
Waziri Mkuu Wa Serikali ya Wanafunzi wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii,Sanaa na Lugha Mh Shauri akiwa anakula kiapo mbele ya Raisi wa Kitivo hiko ( Hayupo Pichani) leo wakati baraza la mawaziri lilipokua likiapishwa leo chuo hapo.Picha zote na Mdau Josephat Lukaza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad