HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 23, 2012

AWATEMBEZA BATA 5,000 MTAANI KWA UMBALI WA KILOMITA 1.5,KUWATAFUTIA CHAKULA

Mfuga Bata mmoja alietambulika kwa jina la moja la Hong alisababisha msongamano mkubwa katika mtaa mmoja mjini Taizhou, China, alipowatembeza bata wake 5,000 kwa umbali wa kilomita 1.5 kutoka shambani kwake akiwatafutia chakula.Mfuga Bata huyo aliyekuwa na fimbo moja ndefu na wasaidizi wachache, aliweza kuimaliza safari hiyo bila kupoteza hata bata mmoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad