TAARIFA ILIYOTUFIKIA HIVI PUNDE INAELEZA KUWA KUNDI KUBWA LA WATU WANAOLIUNGANISHA KUNDI LIFAHAMIKALO KWA JINA LA UAMSHO,AMBALO LIMEKUWA LIKIUPIGA VITA MUUNGANO WA TANZANIA NA ZANZIBAR,LIMEVAMIA KITIO KIKUU CHA POLISI CHA MADEMA KISIWANI HUMO USIKU HUU NA KUSABABISHA BONGE MOJA LA VURUMAI HUKU WAKITAKA KUACHILIWA KWA KIONGOZI WAO ALIEKAMATWA JIONI YA LEO NA JESHI HILO KWA KUONGOZA MDAHARO BILA YA KUWA NA KIBALI CHA SERIKALI.
VURUGU AMBALO KWASASA NDIO LIMEKOLEA KISAWASAWA LIMEWALADHIMU ASKARI POLISI WA KITUONI HAPO KUTUMIA MABOMU YA MACHOZI KWA WINGI ILI KUWATAWANYA WATU HAO AMBAO WENGI WAO WAKO NA MARUNGU,MAPANGA NA MAWE ILI KUPAMBANA NA ASKARI POLISI KITUONI HAPO.
TUTAENDELEA KUPASHANA ZAIDI KADRI TAARIFA ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA

Toa ripoti za kikweli usitumie propaganda kuwasilisha habari, weka Picha inayoonyesha hayo mapanga
ReplyDeleteTunamuomba ALLAH Maandamano haya yawe sababu ya kupatikana uhuru wa kweli wa Zanzibar baada ya miakaaidi ya 40 ya ukoloni wa Tanganyika... Finally we hope to see the glimpse of hope for our nation Zanzibar.
ReplyDeleteThanks to Michuzi Blog for giving us the opportunity to express free and fair comeents
ZANZIBAR HURU
ReplyDeletewamuwache sheikh walie mchukua, laasivyo halihalisi itatokea na si hapo tu bali haitoitaj comment ya yoyote ktkt forum bt itakua impliedly, wallau aalam[Mungu anajua zaid]
ReplyDeleteWAZANZIBARI HONGERA TUKO PAMOJA, ENDELEENI NA KUDAI NCHI YENU KUTOKA KWENYE MIKONO YA MAJAMBAZI NA MAKATILI HAWA WA MIAKA 48. SASA HIVI NI SERIKALI YA WATU WA ZANZIBAR NI WENYE MAAMUZI NA NCHI YAO. UKOLONI CHINI YA WATANGANYIKA BASI.
ReplyDeleteTUKO TAYARI KWA LOLOTE.