Mzee wa kibega toka kundi la Mashujaa raisi kijana Charles baba akionyesha manjojo jinsi ya kumiliki jukwaa kwa kucheza sebene kali kwa staili yao ya kibega katika fukwe za coco beach ambapo bendi hiyo pia ilitumbuiza wakati Airtel ilipozindua huduma yao mpya ya SUPA 5 Airtel itakayowawezesha wateja wake kufurahia huduma ya facebook bure, kuata sms 200 mara wanapotuma sms 10 tu kwa sh 30Tsh, kuchagua namba tatu za kuongea nazo kwa nusu shilingi tu siku nzima, kuongea kwa robo shilingi usiku kucha pamoja na kufurahia internet ya bure nyakati za usiku.
Msanii wa kizazi kipya Mwasiti akionyesha umahiri wake kwa mashabiki wengi waliojitokeza katika fukwe za cocobeach jijini Dar es salaam wakati ambapo kampuni ya simu za mkononi Airtel ilifanya tamasha maalum kwaajili ya uzinduzi wa huduma yao mpya ya SUPA 5.
Mmoja wa wasanii wa kundi maarufu nchini la Tip Top lenye makazi yake maeneo ya manese jijini dare s salaam ajulikanae kwa jina la Dogo Janja akiimba katika jukwaa la Airtel SUPA 5 ambapo Airtel ilizindua huduma muhimu ya Airtel itakayowawezesha wateja wake kufurahia huduma ya facebook bure, kuata sms 200 mara wanapotuma sms 10 tu kwa sh 30Tsh, kuchagua namba tatu za kuongea nazo kwa nusu shilingi tu siku nzima, kuongea kwa robo shilingi usiku kucha pamoja na kufurahia internet ya bure nyakati za usiku

No comments:
Post a Comment