Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara wa Tanzania Dkt Shaaban Mwinjaka ( Wa nne kutoka kushoto waliokaa) akiwa na Wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya za kikanda za Afrika zinazojadiliana kuhusu ushirikiano wa ki uchumi kati ya jumuiya hizi za Afrika na wenzao wa Ulaya kupitia mkataba wa Ubia wa Ki uchumi (EPA). Mkutano huu ni wa kwanza kwa mwaka huu, uliandaliwa na Tume ya Umoja wa Afrika kwa kushirikiana na Jumuiya ya Afrika Mashariki na kufanyika mjini Arusha Tanzania mwishoni mwa wiki.
Monday, May 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment