Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo leo Jijini Dar Es Salaam. Kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Fanuel Mbonde na kushoto ni Katibu wa Baraza hilo Bw. Emannuel Mayeji.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akiongea katika mkutano wa siku mbili wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara hiyo ulioanza leo Jijini Dar Es Salaam. Kushoto kwa Katibu Mkuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Angellah Kairuki.



No comments:
Post a Comment