HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 31, 2012

TAARIFA MAALUM KWA WATEJA WA TWIGA BANCORP

Twiga bancorp limited inaendelea na mkakati wa kurekebisha kumbukumbu za wateja wetu kwa mujibu wa maelekezo ya Benki Kuu, ili kuweza kutoa huduma iliyo bora zaidi.

Usikiapo taarifa hii, tafadhali nenda tawi lolote la  Twiga lililopo karibu nawe muone meneja wa tawi ukiwa na kitambulisho cha account yako.

Mwisho wa zoezi hili ni tarehe 30 Julai, 2012.
Kwa kurahisisha zoezi hili wasiliana nasi kwa Simu zifuatazo

1.    022 211 5575 au
2.    0767 310 348 au

Fax   022 211350

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad