Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR



Guys, hawa si ndo wafadhili wakuu wa kundi la UAMSHO la ZNZ?
ReplyDelete