HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 28, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA IRAN KWA MAZUNGUMZO IKULU JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

1 comment:

  1. Guys, hawa si ndo wafadhili wakuu wa kundi la UAMSHO la ZNZ?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad