Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Ramadhan Khijjah akiongea na wadau mbalimbali kuhusu maendeleo ya maandalizi ya SENSA ya watu na makazi nchini itakayofanyika August 26,mwaka huu. (mwanamke anaeonekana katikati) ni Mwakilishi wa shirika la (UNFPA) nchini anaeshughulikia hesabu za watu na makazi Dkt, Julitta Onabanjo.
Baadhi ya wadau wanaoshughulikia maendeleo ya maandalizi ya SENSA ya watu na makazi nchini itakayofanyika August,26, mwaka huu wakijadiliana katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha Ramadhan Khijjah (hayupo pichani).
Baadhi ya maafisa wa mkutano wa wadau wa maendeleo ya sensa ya watu na makazi wakifuatilia taarifa na mkutano huo.Sensa hii itafanyika August 26, 2012, Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
No comments:
Post a Comment