Mwanadada akipanda daladala kwa kupitia dirishani,baada ya kuona mlangoni kuna zengwe.Picha na Mdau wa Mtaa wa Mtaa Blog.
Wabunge washughulikie misongamano na tatizo la usafiri wa umma katika jiji na sio kukaa na kulumbana kwa kupanda nauli ya kivuko. Wananchi wanataabika. Ona mwanamama anavyoparamia hilo basi yatia uchungu. Hilo ni daladal la Ubungo Mh. Mnyika upo?
ReplyDeleteWabunge wa DSM piganieni hili ndio Zengwe
ReplyDeleteMaalim macho yako kwenye ......tutaondoka wengi
ReplyDeleteUgwadu wa muwa,Toronto