HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 10, 2012

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI LEO

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA BURUNDI,MH. ISSA NTAMBUKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI TOKA KWA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA MH. FILIBERTO CERIANI SEBREGONDI.
RAIS JAKAYA KIIKWETE AKIAGANA NA BALOZI WA UTURUKI MH. ALI DAVUTOGLU BAADA YA KUPOKEA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad