HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 1, 2012

Rais Kikwete Ajumuika na Wanakijiji wa Msoga Kuukaribisha Mwaka mpya 2012

Rais Jakaya Kikwete (mwenye suti nyeusi) akijumuika na wanakijiji wenzake wa kijiji cha Msoga kuangalia fashifashi zilizokuwa zikiwakawaka angani wakati wa kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipojumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.
Fashifashi ziking'arisha anga ya kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad