Mkurugenzi Mtendaji wa Suma JKT,Kanali Ayoub Mwakang'ata (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo kabla ya kumkabidhi funguo ya Trekta Diwani wa Kata ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, Hamza Mafita,(katikati) na Kushoto ni Mkuu wa Mradi wa Suma,Kanali Felix Samillan.
Mkurugenzi Mtendaji wa Suma JKT,Kanali Ayoub Mwakang'ata (kulia) alizungumza na waandishi (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo na baadae alimkabidhi funguo ya Trekta Diwani wa Kata ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, Hamza Mafita,(katikati) na Kushoto ni Mkuu wa Mradi Suma,Kanali Felix Samillan.
No comments:
Post a Comment