Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa tatu kulia) wa Fabak Fashion akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mmoja ya wabunifu wa mavazi akimpima Mwanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akitoa maelekezo kwa wabunifu wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akiwa na mbunifu mwenzake Gymkhana Hilali a.k.a Paka Wear pamoja na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao.
No comments:
Post a Comment