Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer (kulia) ni Mkuu wa kitengo cha Matangazo wa Vodacom Tanzania, Joseline Kamuhanda.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba akizungumza katika hafla hiyo wakati akitoa shukrani zake kwa waandaaji wa tuzo za Super Brands
No comments:
Post a Comment