HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 29, 2011

Usanii wa Dogo wagonga Mwamba hapa

Mdau Abraham Mossi akiwa kamuweka kati dogo aliyekuwa amemuendea kwa lengo la kutaka hela ambayo alikuwa akidai kuwa katumwa na mwalimu wake wa shule kwa ajili ya ujenzi wa shule ambayo hakuotaja,Mdau huyu apatwa na mshtuko mkubwa sana kusikia Dogo huyo anachangisha hela ya ujenzi wa shule na ndipo alipoanza kumpiga maswali dabo dabo huku Dogo akikosa jibu.Alipoona mambo yamekuwa magumu ilibidi atike nduki kwa kuaogopa.Madogo wa namna hii wamekuwa wakiongezeka siku hadi siku hapa mjini na wamekuwa wakijipatia kipato kwa njia hii ya udanganyifu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad