Mh.
Balozi Peter Kalleghe na mke wake wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya watu (kati) waliokuwepo wakati Tanzania Bara inapata uhuru mwaka 1961
Hii tie kwenye picha ni tie yenye miaka 50 na walipewa siku Tazania bara ilipo pata uhuru
TIE YENYE HISTORIA IKIWA NA MNYAMA WETU WA TAIFA 'TWIGA'
Mama Balozi akiiangalia tie kwa ukaribu
Agnes Kundy pia alipata naafasi yakuiangalia tie yenye historia
Image credit: www.jestina-george.com
No comments:
Post a Comment