HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 26, 2011

RASHIDI MATUMLA,MANENO OSWARD NGOMA DROO

Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza uku mpinzani wake Maneno Osward akimsubili kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza huku mpinzani wake Maneno Osward akimsubiri kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika jijini Dar es salaam jana siku ya Xmas.mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika jijini Dar es salaam jana.mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Maneno Osward (kushoto) akimuacha Rashidi Matumla chini baada ya kuanguka kwa kuteleza wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.Picha na Super D.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad