HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 12, 2011

Rais Jakaya Kikwete atembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru viwanja vya maonesho ya Sabasaba vya Mwalimu Nyerere

 Rais Jakaya Kikwete katika banda la TRA
 Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni banda la Benki Kuu
  Rais Kikwete akiangalia gramophone ya 'His Masters Voice' katika banda la Wilaya  ya Moshi
  Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya solar toka kwa Bi Jaina Msuya wa banda la mradi wa Umeme vijijini
  Rais Kikwete akiongea na wanafunzi wa Versity Secondary School juu ya maabada ya sayansi
 Rais Kikwete akipata maelezo juu ya mashine ya kuatamia kuku katika banda la Kilimo na ufugaji
 Rais kikwete akitembelea bustani ya wanyama pori katika banda la Wizara ya Maliasili na utalii
 Rais Kikwete akipata maelezo ya mashine ya kisasa ya kufyatulia matofali kwenye banda la JWTZ
 wapiga picha wakiwa kazini wakati wa ziara hiyo. Juu ni Robert Okanda wa Daily News na chini ni Richard Mwaikenda wa Jambo Leo
 Rais Kikwete akiangalia bonge la boga
Juu na chini ni Rais Jakaya Kikwete katika banda la Ofisi ya Rais
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad