Hii ni Njia ya kutokea Ubungo Extenal kuelekea Mabibo ambayo inaenda mpaka Ubungo Terminal,kwa sasa njia hii iko vibaya sana hasa kutokana na mashimo makubwa makubwa yaliyotokana na mvua zilizokuwa zikiendelea kunyesha jijini Dar.Ikifanyiwa ukarabati njia hii itasaidia sana kupunguza foleni katika Barabara ya Mandela road.
Pia hili Daraja ni Tatizo,kwani ni dogo kiasi kwamba haziwezi pishana gari mbili.
Pia hili Daraja ni Tatizo,kwani ni dogo kiasi kwamba haziwezi pishana gari mbili.
No comments:
Post a Comment