HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 9, 2011

muendelezo wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kwenye viwanja vya sabasaba jijini dar

Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma, Hassan Rashid Shebuge (kulia) akiwahudumia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa.
Mkutubi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Tumushi wa Umma, Moshi Makuka,(kulia) akiwahudumia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa.
Afisa Habari katika Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma, Rehema Mbulalina, (kushoto) (kulia) akiwahudumia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa.
Mshehereshaji katika Banda la Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Seif Mbembe akiwajibika nje ya banda hilo kwa kuwashawishi watu kuingia ndani ya banda hilo na kujipatia huduma mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad