Mdau Balozi Kindamba na Mkewe Bi. Rukia Kajiru wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka kwenye ukumbi wa Shaaban Robert,Upanga jijini Dar es Salaam.
Mdau Balozi Kindamba akimvisha pete ya ndoa mai waifu wake.
Mdau Balozi akimwaga wino huku mluziii kwa mbaaaaaaaliiii ukisindikiza.
Bi Harusi akipitisha macho kwenye cheti cha ndoa kabla ya kumwaga wino.
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao.
No comments:
Post a Comment