Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu na mchezaji wa timu ya Mara,Mussa Mwambije wakiwania mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu akiwatoka mabeki wa Mkoa wa Mara wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji
wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu
akifunga goli wakati mabeki wa Mara wakimshuhudia bila mafanikio ya
kuzuia wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup
yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji
wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu (kulia
)akijaribu kumpita beki wa timu ya Mara, Mussa Mwambije wakati wa
mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja
wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji
wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya akirajibu kuwapita mabeki
wa timu ya Mara wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa
Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment