HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 22, 2011

Kamati ya kusaka vazi la taifa yazinduliwa leo jijini dar

Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa kamati ya kukamilisha mchakato wa kupata vazi la Taifa uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga.
Mwenyekiti wa Kamati ya kusaka vazi la Taifa Joseph kusaga (kulia) akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo baada ya kuzinduliwa rasmi leo na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad