HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 25, 2011

Dkt. Bilal akabidhi zawadi ya krismas watoto yatima

Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Makazi) Bw. Peleleja H. Masesa, akikabidhi mchele, unga, sukari, sabuni, majani ya chai, pamoja na mbuzi kwa kiongozi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Msongola Ilala Rehema Masoud, ikiwa ni zawadi ya sikukuu ya Krismas kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal aliyotowa kwa watoto wanaolelewa katika kituo hicho Msongola nje kidogo ya jiji la Dar es salaam leo jana.

1 comment:

  1. Upuuzi mtupu, mkuu wa kaya anaye,, bwana mtawa, wanakula hela za walalahoi bila kujulikana hasa kazi zao ni zipi. Sasa ukitoa mbuzi na vimchele leo, kesho itakuaje? Kwani hawawezi kujenga labda shule, nursery, kisima, solar au ka hospitali kadogo?
    Acheni kutupiga mchanga wa macho, zamani sawa, ila siku hizi tumestuka!!!!!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad