HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 18, 2011

Balozi Kindamba na Bi. Rukia wameremeta na kuwakawaka

 Maharusi Balozi Kindamba na Mkewe Bi. Rukia wakidiskasi jambo wakati wakijiandaa kuingia ukumbini.
 MC Kibonde wakiwapa utaratibu Maharusi na namna ya kuingia ukumbuni.
Hayaaaaa Tweeendeee Mamsap,Maharusi wakiingia Ukumbini kwa muziki matata kabisa.
 Muda wa Kufungua Shampeini ukawadaia.
Maharusi na Wapambe wao.
 Makarusi wakikata keki.
 Bi. Rukia akiwatambulisha nduguze.
Bw. Balozi nae hakubaki nyuma katika sekta ya kuwatambulisha nduguze.
 Maharusi wakiwa hai tebo.
MC Kibonde cheaaaazzzz...
 Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Barnaba akiimba moja ya nyimbo zake na Bi. Harusi
Mkongwe wa Muziki wa Taarabu nchini,Bi. Patricia Hillaly akiwaimbia maharusi wimbo wake wa Njiwa.
 Ditto nae Ndani.
Mama Mlezi wa Bw. Harusi,Anti Sadaka akitoa neno kwa maharusi.
 Ndugu wa Bi. Rukia wakiwa na furaha.
 Kula Keki Mamsap.
  Cheazzz Boss,Maharusi wakigonganisha glass na Mkurugenzi Mtendaji wa Prime Time Promotions,Bi. Juhayna Kusaga.
Kwaito likafika wakati wake.
 Haya twendeeeeee........
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wenza wa Bw. Balozi Kindamba ambae ndio Bw. Harusi wa leo.
 Dansi limekolea,Kamera tia mfukoni
Mkurugenzi Mtendaji wa Prime Time Promotions,Bi. Juhayna Kusaga akiwa na Bw. Abraham Mossi.
 Hawa jamaa sijui ni Madansa wa bendi gani?? maana wanaangusha moja moja ni balaaaa....
Picha ya Pamoja na wanakati ya Maandalizi.

9 comments:

  1. nimeipenda simple and lovelly...nawatakia maisha mema ya ndoa

    ReplyDelete
  2. Harusi kubwa hivi halafu bia hakuna!! Hamjawatendea haki TBL na SBL pamoja na TRA.

    ReplyDelete
  3. what a swaggaaa! red, grey,black,white, cream, green and so on... bless lord for natural beauty of the 'bride' A beauty of a woman any man will pray for a wife, bless ur marriage my sis and bro. Na only swagga no clik my tiny brain, a beg no offend my people.

    ReplyDelete
  4. Dah! Bonge la harusi, yan harusi ilipendeza sana, maharusi walipondeza sana, Hongeren sana!

    ReplyDelete
  5. god bless u.....da congratulation......nice and funny harus......

    ReplyDelete
  6. waooooooooooo very nice and simple wedding conglatulation mi bro and mi sis u a so cool may god bless ur marriage itz me fetty

    ReplyDelete
  7. Ni swagaaa tu za kutokuwepo kwa bia. Mlipependeza sana sasa.
    Mungu wajalie furaha na amani katika maisha yenu mapya ya ndoa.

    ReplyDelete
  8. hongera sana Rukia na mumeo , wish u happy marriage

    ReplyDelete

Post Bottom Ad