Meneja mauzo kanda ya Kaskazini Jerome Munisi (Kulia) na Msimamisi wa mauzo Riziki Mwalupindi (kushoto) wakimkabidhi Hundi yenye thamani ya Tsh.11,000,000/= mshindi wa shindano la MEGA PROMO bi Glory Robinson Urio (Katikati) kwenye tamasha hilo.Tamasha
hilo kubwa limefanyika katika manispaa ya Mji wa Moshi mwishoni mwa
wiki likiwa limedhaminiwa na Vodacom pamoja na TBL. Pamoja na mambo
mengine lilikuwa limelenga kuwakabidhi washindi mbalimbali wa MEGA
PROMO,shindano ambalo limekuwa likiendelea na kuwavutia wananchi wengi
nchini Tanzania. Jumla ya washindi wapatao nane kutoka Mkoa wa
Kilimanjaro walikabidhiwa zawadi zao zikiwa ni Hundi za sh.11,000,000/=
pamoja na Televison aina ya Samsung nchi 26.
Meneja mauzo Kanda ya kaskazini Jerome Munisi (Kulia) na Msimamisi wa mauzo Riziki Mwalupindi (kushoto) wakimkabidhi Television aina ya Samsung nchi 26 mshindi wa shindano la MEGA PROMO Mr. Theodore S. Shirima (Katikati) kwenye tamasha hilo.
Meneja
mauzo Jerome Munisi Kanda ya Kaskazini (Kulia) na Msimamisi wa mauzo
Riziki Mwalupindi (kushoto) wakimkabidhi Hundi yenye thamani ya
Tsh.11,000,000/= mshindi wa shindano la MEGA PROMO bi Glory Robinson
Urio (Katikati) kwenye tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment