Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi mpya wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzona kujitambulisha leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohamed
Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa
mazungumzo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohamed
Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa
mazungumzo leo.Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
No comments:
Post a Comment