Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole kulia akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa katavi litakalofanyika ijumaa katika kijiji cha makumbusho mara baada ya Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel(katikati) kumkabidhi msaada wa fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne zilizotolewa na Vodacom Tanzania,kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim.
Vodacom
Miss Tanzania 2011 Salha Israel akifurahia jambo wakati akimkabidhi
fulana Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa
watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi John Kafuku, Katikati
ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim. Vodacom imekabidhi fulana
elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne
kusaidia hamasa ya tamasha hilo.
Vodacom
Miss Tanzania 2011 Salha Israel akimkabidhi fulana Mwenyekiti wa kamati
ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa
tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole. Katikati ni Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Salum Mwalim,wengine kutoka kulia Katibu wa kamati hiyo Godffrey
Arubano na makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo John Kafuku Vodacom
imekabidhi fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni
kumi na nne kusaidia hamasa ya tamasha hilo.
Vodacom
Miss Tanzania 2011 Salha Israel akifurahia jambo wakati akimkabidhi
fulana Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa watu
wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole. Katikati
ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim. Vodacom imekabidhi fulana
elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne
kusaidia hamasa ya tamasha hilo.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto na Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo Salum Mwalim wakijadili jambo na Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel wakati wa makabidhiano ya fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne zilizotolewa na Vodacom Tanzania,kwa ajili ya kufanikisha tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi litakalofanyika ijumaa katika kijiji cha makumbusho jijini Dares salaam.
No comments:
Post a Comment