MKURUGENZI MTENDAJI MKUU WA BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB),SABASABA MOSHINGI AKIHUTUBIA WATEJA NA WAGENI WAALIKWA (HAWAKO KWENYE PICHA) KWENYE UZINDUZI WA HUDUMA MPYA YA BENKI HIYO IITWAYO TPB POPOTE.HUDUMA HIYO IMEZINDULIWA LEO KWENYE HOTELI YA KILIMANJARO HYATT REGENCY JIJINI DAR ES SALAAM.
WAZIRI
WA FEDHA NA UCHUMI,MH. MUSTAFA MKULLO AKIZINDUA HUDUMA YA SIMU ZA
MKONONI IITWAYO "TPB POPOTE" ITOLEWAYO NA BENKI YA POSTA TANZANIA
(TPB).HUDUMA HIYO ITAMUWEZESHA MTEJA WA BENKI YA POSTA TANZANIA KUPATA
HUDUMA ZA KIBENKI KUPITIA SIMU YAKE YA MKONONI.KUSHOTO NI MKURUGENZI
MTENDAJI MKUU WA BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB),SABASABA MOSHINGI.
WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI MHE.MUSTAFA MKULO AKIFURAHIA HUDUMA YA TPB POPOTE MARA BAADA YA KUIZINDUA.HUDUMA HIYI INATOLEWA NA BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB) NA INAMUWEZESHA MTEJA KUPATA HUDUMA ZA KIBENKI KWA KUPITIA SIMU YAKE YA MKONONI.WENGINE PICHANI TOKA KUSHOTO KWA WAZIRI NI MENEJA WA TPB POPOTE,VICKY NGOWI,MENEJA WA TEKNOHAMA JONAS MBASA NA KAIMU MKURUGENZI WA MASIKO ANDREW CHIMAZI.
No comments:
Post a Comment